MKUU WA WILAYA YA KOROGWE ,MRISHO GAMBO AKIZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA WADAU SIKU YA MFUKO WA AFYA YA JAMII MIJINI WA TIBA KWA KADI(TIKA) |
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA KOROGWE MJI, NA DIWANI WA KATA YA KILOLE ,ANGELO BENDERA AKISISITIZA JAMBO WAKATI AKIZUNGUMZA KWENYE MKUTANO HUO |
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA KOROGWE MJI,LEWIS KALINJUNA AKISISITIZA UMUHIMU WA JAMII KUJIUNGA NA MFUKO HUO KATIKA MKUTANO HUO |
AFISA MATEKELEZO NA URATIBU WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)-SINGIDA ISSAYA SHEKIFU AKITOA UZOEFU WAKE KILA MMOJA WILAYA YA IRAMBA -SINGIDA JINSI WANANCHI WALIVYOFADIKA KUPITIA TIKA. |
VIONGOZI WA DINI KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI MJI WA KOROGWE WAKIFUATILIA KWA UMAKINI MIJADALA ILIYOKUWA IKIENDESHWA |
MKUU WA MKOA WA TANGA,LUTENI MSTAAFU,CHIKU GALLAWA AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA MFUKO TAIFA WA BIMA YA AFYA NHIF MARA BAADA YA KUFUNGUA MKUTANO WA WADAU |
EmoticonEmoticon