KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI JIJINI TANGA YAFANA,RC GALLAWA AWA MGENI RASMI

March 22, 2014
MKURUGENZI MTENDAJI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA JIJINI TANGA TANGA UWASA,MHANDISI JOSHUA MGEYEKWA AKIZUNGUMZA LEO WAKATI WA KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KILICHOFANYIKA KWENYE UWANJA WA MAMLAKA HIYO JIJINI HAPA KABLA YA KUMKARIBISHA MKUU MKOA WA TANGA LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA AMBAYE ALIKUWA MGENI RASMI LEO KWENYE KILELE HICHO

MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA AKISOMA HOTUBA YAKE KWENYE KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KILICHOFANYIKA LEO KWENYE ENEO LA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAZINGIRA JIJINI TANGA ANAYEFUATA NI MKURUGENZI MTENDAJI WA MAMLAKA HIYO MHANDISI JOSHUA MGEYEKWA NA MKURUGENZI WA JIJI LA TANGA,JULIANA MALANGE.

MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA TANGA,OMARI GULEDI AKIZUNGUMZA KWENYE KILELE CHA MAADHIMISHO HAYO LEO WA KWANZA KUSHOTO NI KATIBU TAWALA WA MKOA WA TANGA,SALUMU CHIMA NA KULIA NI MKUU WA MKOA WA TANGA,LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA NA MKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA JIJINI TANGA TANGA UWASA MHANDISI JOSHUA MGEYEKWA.

PRA WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MWANAUWANI BAWAZIRI WA KWANZA KUSHOTO AKIWA NA WAFANYAKAZI WENZAKE WAKIFUATILIA KWA UMAKINI HOTUBA YA MGENI RASMI.

MKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA JIJINI TANGA,TANGA UWASA KATIKA MHANDISI JOSHUA MGEYEKWA AKIKABIDHIWA GITAA NA MFANYAKAZI WA MAMLAKA HIYO KWA AJILI YA KUMKABIDHI MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA NA MFANYAKAZI WA MAMLAKA HIYO ANAYESHUHUDIA NI MKURUGENZI WA JIJI LA TANGA ,JULIANA MALANGE.

KATIKATI NI MKUU WA MKOA WA TANGA,LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA AKIWA AMEBEBA GITAA KABLA YA KUWAKABIDHI KIKUNDI CHA WAIMBAJI KINACHOISHI PEMBEZONI MWA ENEO LA CHANZO CHA MAJI KULIA NI MKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA JIJIN I TANGA,MHANDISHI JOSHUA MGEYEKWA NA KUSHOTO NI MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA TANGA OMARI GULEDI.

MARA BAADA YA KUKABIDHIWA MH,CHIKU GALLAWA AKIWA AMELISHIKILIA KUSHOTO NI MKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA JIJINI TANGA,MHANDISI JOSHUA MGEYEKWA AKIPIGA MAKOFI NA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA,JULIANA MALANGE NA KUSHOTO NI MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA TANGA,OMARI GULEDI.

KULIA NI MKUU WA MKOA WA TANGA,LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA AKIMKABIDHI GITAA HILO MMMOJA KATI YA WASANII WANAOUNDA KUNDI HILO LEO.ANAYESHUHUDIA NI MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA TANGA,OMARI GULEDI

MFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA JIJINI TANGA TANGA UWASA KULIA AKIMKABIDHI MKURUGENZI WA MAMLAKA HIYO MHANDISI JOSHUA MGEYEKWA TUZO WALIOIPATA KUTOKANA NA UTOAJI HUDUMA BORA JIJINI TANGA WANAOSHUHUDIA NI MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA WA KWANZA KUSHOTO NA MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA TANGA,OMARI GULEDI LEO NA WA KWANZA KULIA NI MKURUGENZI WA JIJI LA TANGA,JULIANA MALANGE.













Share this

Related Posts

Previous
Next Post »