Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi chaeti, Mkurugeniz wa Kagera Sugar, Hamadi Yahaya, ikiwa ni
sehemu ya kutambua mchango wake wa kuchangia maendeleo ya Elimu ya
Jimbo la Nkenge mkoa wa Kagera,wakati wa hafla ya harambee ya
kuchangisha fedha kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Elimu Jimbo la
Nkenge kununua madawati ili kusadia shule za msingi za Jimbo hilo.
Harambee hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, jana usiku. Kushoto ni
Mbunge wa Jimbo la Nkenge, Asumta Mshana na (kushoto kwa Makamu) ni Mkuu
wa Mkoa wa Kagera, Kanal Fabian Masawe.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza wakati wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Mfuko wa
Maendeleo ya Elimu Jimbo la Nkenge kununua madawati ili kusadia shule za
msingi za Jimbo hilo. Harambee hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam,
jana usiku. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Nkenge, Asumta Mshana na
(kushoto kwa Makamu) ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanal Fabian Masawe.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanal Fabian Masawe, wakati wa
hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Elimu
Jimbo la Nkenge kununua madawati ili kusadia shule za msingi za Jimbo
hilo. Harambee hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, jana usiku.
Sehemu ya wageni waalikwa kutoka mkoa wa Kagera waliohudhuria harambee hiyo.
Meza
Kuu wakijumuika kuimba wimbo maalumu wa mkoa wa Kagera wa kuhamasisha
maendeleo ya mkoa huo, hususan katika suala la elimu na kuchangia
madawati.
Msanii wa ngoma na nyimbo zaasili, Saida Kaloli, akiwa na kikundi chake wakitoa burudani wakati wa Harambee hiyo.
EmoticonEmoticon