
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, amemtembelea na kumpa pole Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Nkasi, Mhe. Ally Mohamed Keissy, kufuatia msiba wa shimeji yake – dada wa mkewe uliotokea hivi karibuni.


Dkt Kikwete akioneshwa nyumba aliyowahi kushi akiwa afisa wa CCM miaka ya 1980 alipomtembelea na kumpa pole Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Nkasi, Mhe. Ally Mohamed Keissy, kufuatia msiba wa shimeji yake – dada wa mkewe uliotokea hivi karibuni.
EmoticonEmoticon