MAKAMU WA RAIS MHE. NDEJEMBI ASHIRIKI MISA TAKATIFU KANISA KATOLIKI DODOMA

August 30, 2026

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, pamoja na familia yake wameungana na waumini mbalimbali katika kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Jumapili, katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma. Tarehe 30 Agosti 2026.




Share this

Related Posts

Previous
Next Post »