DKT.MSEMWA,DKT.AFUA WAIMARISHA USHIRIKIANO WA MIPANGO BARA NA ZANZIBAR

January 06, 2026

Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango (NPC), Dkt. Fred Msemwa (Kushoto) akiwa katika mazungumzo na Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango ya Zanzibar, Dkt. Afua Khalfan Mohamed (Katikati) alipotembelea ofisi hizo Zanzibar leo ( 6.1.2025). Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasimali Watu, Bi.Maryam Ukki.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »