Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu ,Tamisemi Mhe.Reuben Kwagilwa ( Mb ) ameshiriki ibada ya misa ya mazishi ya marehemu Jenista Mhagama ,iliofanyika leo Jumanne Desemba 16,2025 ,katika Parokia ya Andreas,Kijiji cha Ruanda wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma
Marehemu Jenista Mhagama ,alifariki alhamisi Desemba 12, 2025 Jijini Dodoma na amezikwa leo Desemba 16 na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Balozi Dkt, Emmanuel Nchimbi ,amewaongoza mamia ya waombolezaji ,akiwemo mhe waziri mkuu katika mazishi hayo



EmoticonEmoticon