DKT. MWIGULU AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA

December 11, 2025

 WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 11, 2025 amezungumza na watendaji na viongozi wa Sektretarieti ya Maadili kwa viongozi wa Umma, katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi hiyo jijini Dodoma.

Akizungumza na watendaji hao, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema kuwa yapo maeneo ambayo bado rushwa imekidhiri lakini watumishi wake hawatambuliki kama sehemu ya viongozi kwa majukumu yao. “Ni muhimu kufanya mapitio ya haraka ya tamko ili nao waweze kujumuishwa”.









Share this

Related Posts

Previous
Next Post »