NCHIMBI AAGANA NA WANA KAGERA ,SASA ZAMU YA RUKWA

September 08, 2025

MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiagana na Viongozi wa  Chama na Serikali  katika Uwanja wa Ndege mjini Bukoba,mara baada ya kumaliza mikutano yake ya Kampeni ndani ya mkoa wa Kagera leo Jumatatu Septemba 8,2025.



Dk.Nchimbi  anaelekea mkoani Rukwa  kuendelea na mikutano yake ya kampeni ya kutafuta kura za kishindo kwa Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29,2025.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »