Picha mbalimbali zikimuonesha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki shughuli ya mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Namibia, Baba wa Taifa hilo na kiongozi wa mapambano ya kupata uhuru wa nchi hiyo.
Mazishi ya Dkt. Sam Shafiishuna Nujoma, yaliyofanyika katika eneo la makaburi ya mashujaa, jijini Windhoek, na kuhudhuriwa na maelfu ya waombolezaji, kutoka ndani na nje ya Namibia, wakiongozwa na Rais wa Namibia, Nangolo Mbumba, pamoja na viongozi wengine wa Chama na Serikali wa Namibia, tarehe 1 Machi 2025.
#Ends
EmoticonEmoticon