MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA TANGA RAHA BLOG March 11, 2025 habari siasa TANGA RAHA BLOG Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma. Share this Author : TANGA RAHA BLOG Related Posts
EmoticonEmoticon