KAMPUNI YA KUTENGENEZA NGUZO ZA ZEGE ZA MBELE YA KAMATI YA BUNGE

January 13, 2025


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, leo Januari 13, 2025, ameshiriki katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ambayo imepokea taarifa ya utendaji kazi wa Kampuni ya Uzalishaji Nguzo za zege (TCPM) 


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Dkt. David Mathayo David, amemshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati kwa ushirikiano anaoutoa kwa Kamati na hivyo kuirahisishia utekelezaji wa majukumu yake.



Share this

Related Posts

Latest
Previous
Next Post »