MAKAMU WA RAIS AKIWASILI ARUSHA – KUFUNGUA MKUTANO WA TAKUKURU

December 15, 2024







Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda pamoja na viongozi mbalimbali wakati alipowasili mkoani Arusha leo tarehe 15 Desemba 2024. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) utakaofanyika kesho tarehe 16 Desemba 2024 mkoani Arusha.

Share this

Related Posts

Latest
Previous
Next Post »