Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Patience Ntwina (kushoto) akibadilishana nyaraka na Mkurugenzi Mtendaji wa MISA TAN Bi. Elizabeth Riziki baada ya kutia saini mkataba wa ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili.
Mwenyekiti wa bodi na Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe. Amina Talib Ali akipongezana na Mkurugenzi Mtendaji wa MISA TAN Bi. Elizabeth Riziki (kulia) baada ya kutia saini mkataba wa ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili.
****
Taasisi ya vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA-TAN) na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora wamesaini mkataba wa miaka mitatu (2024- 2027) wa ushirikiano makubaliano ya kufanya kazi kwenye maeneo mbalimbali ya haki za binadamu na hasa haki za waandishi wa habari na wananchi kwa ujumla.
Hafla ya utiaji saini Mkataba huo imefanyika leo jijini Dodoma
na kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa bodi na Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe. Amina Talib Ali, Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe. Mohamed Khamis Hamad, Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Patience Ntwina, Makamishina, wakurugenzi wa tume na kwa Upande wa MISA TAN, Makamu Mwenyekiti wa MISA TAN Bw. James Marenga na Mkurugenzi Mtendaji wa MISA TAN bi. Elizabeth Riziki.
Share this
Related Posts
MNEC JUMAA ASEMA MIAKA MINNE YA RAIS DKT SAMIA IMEKUWA YA MAFANIKIO MAKUBWA , ATAJA MAMBO MAKUBWA MANNE MUHIMU Na Gustaphu Haule, Pwani.MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kupitia Jumuiya ya Waza
WAZIRI MAVUNDE AGAWA MITUNGI YA GESI KWA MAMALISHE ZAHANATI NA HOSPITALI JIJINI DODOMA 📌 *Ni sehenu ya utekekezaji wa Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia*Waziri wa Madini ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo
WAKULIMA WA MWANI, WAVUVI MKINGA WALISHUKURU SHIRIKA LA TAWSEI KUWAPATIA ELIMU Na Oscar Assenga, MKINGA WAKULIMA wa Kilimo cha Mwani na Wavuvi kata ya Manza na Mayomboni wilayani Mkinga Mkoani Ta
WANANCHI WA CHAMWINO DODOMA KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI MIJI 28 Fundi kutoka Kampuni ya Mkandarasi MEGHA Engineering & Infranstructures Limited (MEIL) kutoka nchini In
EmoticonEmoticon