MASAUNI AKUTANA NA BALOZI WA INDONESIA NCHINI, WAJADILI USHIRIKIANO, MJINI UNGUJA ZANZIBAR

January 14, 2024

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Balozi wa Indonesia nchini, Tri Yogo (kushoto), kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Indonesia katika kikao kilichofanyika Mjini Unguja, Zanzibar, Januari 14, 2024. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiagana na Balozi wa Indonesia nchini, Tri Yogo (kulia), baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Indonesia katika kikao kilichofanyika Mjini Unguja, Zanzibar, Januari 14, 2024. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »