Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe.
Paul Kagame mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27
Aprili, 2023. Rais wa Rwanda Mhe. Kagame amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya
Kikazi ya Siku 2.Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania katika
Mazungumzo Rasmi na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame aliyeambatana na ujumbe
wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe.
Paul Kagame wakati wakizungumza na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es
Salaam tarehe 27 Aprili, 2023Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais wa
Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuzungumza na Waandishi wa Habari Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023
Share this
EmoticonEmoticon