Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteremka
kutoka kwenye gari lenye maabara inayotumika kupima ugonjwa wa Kifua
Kikuu katika maeneo mbalimbali wakati alipotembelea mabanda ya monyesho
ya Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani yaliyofanyika kitaifa
kwenye uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, Machi 24,
2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa , Mwalimu wa panya
wanaonusa na kubaini mate au makohozi yenye vijidudu vya ugonjwa wa
Kifua Kikuu, Mariam Chamkwata wa Chuo Kikuu cha Kilimo, Sokoine cha
Morogoro, katika maonyesho ya Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani
yaliyofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, Machi 24, 2023. Wa pili kulia ni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili
kwenye uwanja a Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu kuwa mgeni
rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani, Machi 23,
2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon