Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimvalisha cheo kipya Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed ambapo
awali alikuwa na cheo cha Meja Jenerali kabla hajamuapisha kuwa Mnadhimu
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi
la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed
akizungumza mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia jambo wakati Maafisa Mbalimbali wastaafu wa (JWTZ) walipokuwa
wakizungumza mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ) Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed mara baada ya kumuapisha
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waandishi mbalimbali
wa habari waliofika kuripoti habari za Uapisho wa Mnadhimu Mkuu wa
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Yakubu
Hassan Mohamed Ikulu jijini Dar es Salaam.
Maafisa Mbalimbali wa Jeshi
waliopandishwa vyeo kutoka Brigedia Jenerali na kuwa Meja Jenerali
wakipiga makofi wakati wa hotuba za Maafisa mbalimbali wastaafu wa JWTZ
walipokuwa wakizungumza Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya
Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwavalisha vyeo vipya vya
Meja Jenerali kutoka Cheo cha Brigedia Jenerali maafisa mbalimbali wa
Jeshi hilo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi
la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed
mara baada ya Uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Maafisa Mbalimbali wa Jeshi la
Wananchi akiwemo Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed watano kutoka
kulia wakiwa wamepiga Saluti wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi, Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania (CDF) Jenerali Venance Mabeyo,
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni
Jenerali Yakubu Hassan Mohamed pamoja na Maafisa wengine wa Jeshi la
Ulinzi la Wananchi ambao wamepandhishwa vyeo kutoka Cheo cha Brigedia
Jenerali na kupewa cheo kipya cha Meja Jenerali Ikulu jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU