Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki EAC Rais wa Uganda Yoweri Museveni pamoja na viongozi
wengine wa Jumuiya hiyo katika siku ya mwisho ya Kikao chao
kilichofanyika Kampala nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anatoka katika ukumbi wa mkutano
pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kumalizika kwa
vikao vya Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC
vilivyofanyika Kampala nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki EAC Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta, Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir pamoja na viongozi wengine wa
Jumuiya hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na mabalozi mbalimbali
waliohudhuria mkutano wa EAC katika siku ya mwisho jijini Kampala nchini
Uganda. PICHA NA IKULU