Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu mara baada ya
kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Gavana wa
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu
mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Gavana mteule wa Benki
Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga aliyefika Ikulu kwa ajili
ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na na Gavana
mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga mara baada
ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Gavana
mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga wa kwanza
(kushoto) pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza
muda wake Profesa Benno Ndulu wa kwanza (kulia) mara baada ya kuwasili
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na na
Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga wa
kwanza (kushoto) pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)
anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu wa kwanza (kulia) mara baada
ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Gavana wa Benki
Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari kuhusu
masuala mbalimbali ya kifedha. Kushoto ni Gavana Mteule wa Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amewashika mikono na kuwanyanyua
juu kwa furaha Gavana Mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa
Florens Luoga (kushoto) pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)
anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada
ya kumaliza mazungumzo na Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)
Profesa Florens Luoga pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)
anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Gavana wa Benki
Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Gavana Mteule wa
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Gavana Mteule wa Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga akipongezana na Gavana wa Benki Kuu
ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu
jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU