Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa wafiwa
alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo January 2,
2018 kwenye msiba wa Marehemu Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola
aliyekuwa mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki jana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini kitabu cha maombolezo
alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo January 2,
2018 kwenye msiba wa Marehemu Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola
aliyekuwa mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki jana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Naibu Waziri Ofisi ya
Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola kwenye msiba
wa mkewe MarehemuKamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola Gerezani
Railyways Club jijinio Dar es salaam leo January 2, 2018
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
wanafamilia alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo
January 2, 2018 kwenye msiba wa Marehemu Kamishna Msaidizi wa Polisi
Mary Lugola aliyekuwa mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais
(Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki jana.
PICHA NA IKULU