Waziri wa
Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akishiriki
kusafisha shamba lake la mpunga lililoko Kijiji cha Dalla mkoani Morogoro
alipokuwa kwenye wa mapumziko ya sikukuu ya Krismas leo.
Waziri wa
Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akishirikiana na wafanyakazi wake kusafisha
shamba lake liliko Kijiji cha Dalla mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya
kupanda mpunga leo wakati wa mapumziko ya sikukuu ya Krismas.
Moja ya
matrekta yaliyoko katika shamba la Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina akiliendesha kwa shughuli za kulima kwa ajili ya maandalizi ya kupanda mpunga
wakati Waziri huyo alipokwenda kushiriki shughuli za shamba
wakati wa mapumziko ya sikukuu ya Krismas leo.