Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli akiwa
na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya dunia nchini Bi. Bella Bird aliyekutana
na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 4,
2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli
akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya dunia nchini Bi. Bella Bird
leo Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 4, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli
akimsindikiza Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya dunia nchini Bi. Bella Bird
aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo
Novemba 4, 2017.
w4,
w5 na w6: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph
Magufuli akiendesha kikao cha Baraza la Mawari Ikulu jijini Dar es
salaam leo Novemba 4, 2017.
PICHA NA IKULU