NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA DAR

December 11, 2017
Afisa Masoko wa Nssf Riziki Kibwasali (kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja waliotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba saba jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko wa Nssf Riziki Kibwasali (kushoto),akiwaonyesha fomu baadhi ya wateja waliotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba saba jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko wa NSSF, Salama Mbarak (kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja waliotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba
saba jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko na Uhusiano NSSF, Aisha Sango (kulia), akizungumza na baadhi ya wateja waliotembelea
banda lao wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba saba jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wateja wakiuliza maswali iliwaweze kupata kadi ya bima ya matibabu  walipotembelea banda la Nssf wakati wa
maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba saba jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wateja wakijaza fomu kwa ajili ya kupata kadi ya bima ya matibabu walipotembelea banda la Nssf wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba
saba jijini Dar es Salaam.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »