MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dk Shein Afunga Mkutano Mkuu wa UVCCM Dodoma Leo

December 11, 2017
DSC_9312
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa tISA WA UVCCM katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Chuo cha Mipango Dodoma wakati akifunga mkutano huo na kutowa nasaha zake kwa Viongozi waliochaguliwa.
DSC_8907
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Mboni Mhita alipowasili katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma.
DSC_8913
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Mipango Dodoma kufunga Mkutano Mkuu wa VCCM.
DSC_8927
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu wa CCM Abrahaman Kinana wakiingia katika ukumbi wa mkutano wa Tisa wa UVCCM. ukumbi wa chuo cha mipando dodoma.(
DSC_8945
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akiingia katika ukumbi wa Mkutano
DSC_8947
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM wakifuatilia matokeo ya Uchaguzi yakitangazwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM William  Lukuvi
DSC_8952
WAGENI Waalikwa wakifuatilia hutuba ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein wakati akihutubia Mkutano huo Mkuu wa Tisa wa UVCCM,katika ukumbi wa Chuo cha JK Mwalimu  Nyerere, Chuo cha Mipango Dodoma akifunga mkutano huo.
DSC_8960
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa UVCCM wakimsikiliza Mamaku Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akihutubia wakati wa ufungaji wa MkutanoMkuu wa UVCCM leo
DSC_8963
MSIMAMIZI wa Uchaguzi Mkuu wa UVCCM Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Willian Lukuvi akitangaza matokeo ya uchaguzi kwa wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
DSC_8986
MSHINDI wa Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Tabia Maulid Mwita akishindikizwa na wapambe wake baada ya kutangazwa rasmin msindi wa nafasi hiyo.
DSC_8992
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa UVCCM wakishangilia wakati wa matokeo ya Uchaguzi wa nafasi za Mwenyekiti na Makamu wake katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma.
DSC_9032
MSHINDI wa Nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Kheri Denice James akiwa amebeba juu baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo na msimamizi wa Uchaguzi Mkuu Willian Lukuvu
DSC_9031
WASHINDI wa Nafasi za Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Kheri Denice na Tabia Maulid Mwita wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangazwa washindi.
Picha na Ikulu

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »