Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia kwa kugonga mkono pamoja
na Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar
Dkt. Ali Mohamed Shein wakati wakijiandaa kupiga kura za kumchagua
Mwenyekiti wa CCM katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi
uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini
Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Makamu
Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali
Mohamed Shein wakati wakipiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa CCM katika
Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi
wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan wa tatu kutoka (kushoto), Makamu Mwenyekiti wa
CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa
nne kutoka (kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete
wa kwanza (kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan
Mwinyi wa pili kutoka (kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin
Mkapa wa pili kutoka kulia wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kufungua
mkutano wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu
wa CCM pamoja na wageni mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama
cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional
Centre Mjini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Rais Mstaafu wa awamu
ya nne Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kufungua mkutano wa Tisa wa
CCM uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Makamu Mwenyekiti wa
CCM Bara Philip Mangula mara baada ya kufungua mkutano wa Tisa wa CCM
uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Rais mstaafu wa
Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza katika mkutano huo wa tisa uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao katika mkutano huo wa tisa.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga kura kwa moja ya wagombea
katika mkutano huo wa tisa.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Makamu
Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula mara baada ya kupiga kura zao kwa
ajili ya uchaguzi wa viongozi hao.
Wanachama wa CCM wakiburidika kwa kucheza nyimbo mbalimbali katika mkutano huo wa tisa.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia Mke wa Hayati Baba wa
taifa, Mama Maria Nyerere katika mkutano huo wa Tisa wa CCM uliofanyika
mjini Dodoma.
PICHA NA IKULU