Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na Mama Maria Nyerere na Mama Fatma Karume
wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi katika
ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12, 2017.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya
Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Brigedia Generali John Julius
Mbungo wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi
katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12,
2017.
Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa kaongozana na Mwenyekiti wa
Jumuiya ya Wazazi aliyemaliza muda wake Alhaj Abdallah Majura Bulembo
(kushoto) na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na viongozi
wengine baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi
katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12,
2017.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM
(UVCCM) Ndg. Kheri James baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Tisa wa
Jumuiya ya Wazazi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini
Dodoma leo Desemba 12, 2017.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John
Pombe Magufuli akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi
katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo Desemba
12, 2017.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John
Pombe Magufuli akiteta jambo na Balozi Job Lusinde baada ya Mkutano Mkuu
wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya
Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12, 2017.
Wake wa viongozi kutoka kushoto
Mama Janeth Magufuli, Mama Maria Nyerere, Mama Mary Majaliwa na Mama
Bulembo wakiwa katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi katika
ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12, 2017.
Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahmana Kinana akiwa na Mama Maria Nyerere muda mfupi
kabla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi katika
ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12, 2017.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John
Pombe Magufuli akimpatia zawadi Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi
aliyemaliza muda wake Alhaj Abdallah Majura Bulembo wakati wa ufunguzi
wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya
Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12, 2017.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John
Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa, makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe. Philip Mangula,
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu wa Jumuiya
ya Wazazi Mhe. Maalim Seif wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa
Jumuiya ya Wazazi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini
Dodoma leo Desemba 12, 2017.
Wajumbe wakimshangilia
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati akifungua Mkutano
Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya
Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12, 2017.
PICHA NA IKULU