Kamanda wa
Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Deborah Magiligimba
akizungumza na waumini wa Kikristo(hawapo pichani) kwenye ibada maalum ya
kuliombea Taifa iliyoandaliwa na Umoja wa Makanisa Mkoa wa Singida jana.
Kamanda wa
Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Deborah Magiligimba(
wa tano kulia) akifuatilia kwa makini mahubiri wakati wa Ibada maalum ya
kuliombea Taifa iliyoandaliwa na Umoja wa Makanisa Mkoa wa Singida jana wengine pichani ni viongozi wa madhehebu
mbalimbali ya Kikristo Mkoa wa Singida.
Kamanda wa
Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Deborah Magiligimba
akizungumza na waumini wa Kikristo kwenye ibada maalum ya kuliombea Taifa
iliyoandaliwa na Umoja wa Makanisa Mkoa wa Singida jana ambapo alisisitiza umuhimu wa wananchi kutii Sheria
za nchi bila shuruti.
Kamanda wa
Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Deborah Magiligimba
akizungumza na waandishi wa habari namna Jeshi la Polisi lilivyojipanga
kuimarisha ulinzi katika nyumba za ibada na kumbi za starehe katika kipindi
hiki cha sikukuu za Krismas na Mwaka Mpya.