CCM KOROGWE KUZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA KWAGUNDA LEO

December 30, 2017
 Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Allan Kingazi katikati akiwa na viongozi wa chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Korogwe wakiweka mipango ya kuanza uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani wa Kata ya Kwagunda wilayani Korogwe leo kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu ambaye pia ni MNEC na Mjumbe wa Baraza la Wazazi Taifa kulia ni Katibu wa CCM Korogwe Mjini Ally Issa kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Korogwe Mjini Emanuel Charles na wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa UVCCM Korogwe Vijijini Ally Abdallah uzinduzi huo unafanyika baada ya aliyekuwa diwani wa Kata hiyo kufariki dunia
 Katibu wa CCM Korogwe Mjini Ally Issa kulia akiteta jambo na viongozi wenzake wa chama hicho kuhusu namna ya watakavyoanza kampeni hizo  kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Allan Kingazi akkifuatiwa na Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM),Mnec na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa,Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu
 Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM),Mnec na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa,Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akiwasikiliza baadhi ya viongozi wa CCM wilaya ya Korogwe hawapo pichani wakati walipokutana kuweka mikakati ya kuanza kampeni za udiwani leo

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »