Mwenyekiti wa Taasisi ya Dkt. Amon Mkoga, Bwana Amon
Mkoga na kulia kwake ni Mhe.Stella Ikupa Naibu waziri wa Sera, Bunge, Kazi,
Vijana, Ajira na Walemavu akifuatiwa na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe.Jasem Al Najem, Ubalozi wa Kuwaiti
umetoa vyerehani, fimbo za kutembelea walemavu na baiskeli za walemavu vyote vikiwa
na thamani ya shilingi milioni 18 kwa watu wenye mahitaji maalum kutoka mkoa wa
Tabora.
Sehemu ya vifaa vilivyokabidhiwa leo