Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na waumini wengine wa Kanisa
Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakishiriki Ibada ya
jumapili ya Familia Takatifu katika Kanisa hilo la jijini Dar es
Salaam.

Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru mara baada ya kushiriki
Sakramenti Takatifu katika Ibada ya Jumapili ya Familia Takatifu
iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitakiana Heri na Masista
walioshiriki katika Ibada ya jumapili ya Familia Takatifu katika Kanisa
la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko Msaidizi wa Kanisa
la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Fr. Asis Mendokta mara baada ya
Ibada ya jumapili ya Familia Takatifu katika Kanisa hilo jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na waumini wa Kanisa la
Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam
mara baada ya Ibada ya jumapili ya Familia Takatifu katika Kanisa hilo

jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU