Wasanii Roma(kulia) na Zaiid wakimkabidhi mteja wa Tigo, Francis Wamonje(katikati)zawadi ya tiketi ya kwenda kishuhudia Tamasha la Tigo Fiesta litakalofanyika leo mjini Morogoro
|
Msanii Barnaba akipiga picha 'selfie' na mfanyakazi wa duka la Tigo lililopo mtaa wa Stand Morogoro leo. |
Msanii Mimi Mars akiteta jambo na mfanyakazi wa duka la Tigo mtaa wa Stand Morogoro mara baada ya Wasanii kutembelea duka hilo. |
Mteja wa Tigo mkoani Morogoro, Violent Mongi (wa pili kushoto) akikabidhiwa zawadi na Wasanii Vee Money, Genevieve na GNako mara baada ya mteja kupata huduma ndani ya duka hilo. |
Mtoa huduma wa duka la Tigo Morogoro mjini, Dorcas James akitoa huduma kwa wateja. |
EmoticonEmoticon