Aliyekuwa
katibu Mkuu wa Mkutano wa Beijing , Getrude Mongela akizungumza wakati
wa mkutano wa Wajibu wa Mwanamke katika masuala ya Amani na kutatua
Matatizo Barani Afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Muasisi
wa Mkutano wa Wanawake juu ya Amani na kutatua matatizo Barani Afrika,
Dkt. Basirat Nahibi akizungumza juu ya suala la wanawake wa bara la
Afrika kukutana kujadili na kuandaa upatanishi juu ya mgogoro wa kisiasa
unaondelea nchini Kenya.
Waziri
wa Viwanda, Biashara na Masoko Kutoka Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali akizungumza katika mkutano huo kwa
niaba ya Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu
Muuandaaji
wa mkutano huo kwa hapa Tanzania , Khadija akimkabidhi kitabu
Aliyekuwa katibu Mkuu wa Mkutano wa Beijing , Getrude Mongela
Mwanahabari
Mwanamke mkongwe nchini Radhia Mwawanga akichangia hoja katika mkutano
wa Wajibu wa Mwanamke katika masuala ya Amani na kutatua Matatizo Barani
Afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mjumbe
wa mkutano huo Madam Fanta Dissa Berthe akichangia jambo mkutano wa
Wajibu wa Mwanamke katika masuala ya Amani na kutatua Matatizo Barani
Afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam jana
Mhariri
wa jarida la mkutano wa Wajibu wa Mwanamke katika masuala ya Amani na
kutatua Matatizo Barani afrika, Fatma Othman Moma akizungumza wakati wa
mkutano huo uliofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi
ya Viongozi Wanawake walioshiriki Baadhi ya Viongozi Wanawake
walioshiriki mkutano wa Wajibu wa Mwanamke katika masuala ya Amani na
kutatua Matatizo Barani Afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam jana,
wakifuatilia kwa makini,mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika
mkutano huo.
Baadhi
ya Viongozi Wanawake walioshiriki mkutano wa Wajibu wa Mwanamke katika
masuala ya Amani na kutatua Matatizo Barani afrika uliofanyika jijini
Dar es Salaam jana wakisikiliza mada zilizokuwa zikijadiliwa katika
mkutano huo.
Picha
ya Pamoja ya Baadhi ya Viongozi Wanawake walioshiriki mkutano wa
Wajibu wa Mwanamke katika masuala ya Amani na kutatua Matatizo Barani
Afrika.
EmoticonEmoticon