Kaimu katibu mkuu wa Umoja wa
Vijana wa CCM (UVCM) Shaka Hamdu Shaka (wa tatu kulia)akishiriki kuimba
wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa kongamano la tathmini ya uchambuzi wa
utendaji wa miaka miwili wa serikali ya Rais John Magufuli kwenye
Ukumbi wa BKM Mkoani Tanga jana.Kulia ni Mweyekiti wa ccm wilaya ya
Tanga Meja Mstaafu Khamis Mkoba(picha na Fahdi Siraji)
Chipukizi wa CCM Mkoa wa Tanga
wakiimbisha Wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa kongamano la tathmini ya
uchambuzi wa miaka miwili ya serikali ya Rais John Magufuli kwenye
Ukumbi wa BKM Mkoani humo.
Sehemu ya washiriki kwenye
kongamano lililoandaliwa na uvccm kuhusu tathmini na uchambuzi wa miaka
miwili ya utendaji wa serikali ya Rais Dk John Magufuli lilifanyika
Mkoani humo (picha na fahd Siraji)
Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga Allan
Kingazi akihutubia katika kongamano lililoandaliwa na uvccm kuhusu
tathmini na uchambuzi wa utendaji wa miaka miwili ya serikali ya Rais Dk
John Magufuli (picha na Fahdi Siraji)
Katibu wa uvccm wilaya ya Tanga
mjini Abdurahman Killo akisoma tamko la uvccm kuunga mkono utendaji wa
miaka miwili wa serikali ya Rais John Magufuli lilifanyika ukumbi wa
BMK Mkoani Tanga(Picha na Fahdi Siraji)
Sehemu ya uwakikisjinwa Jumuiya
ya Wanawake Mkoa Tanga walioshiriki kwenye kongamano la tathmini ya
Uchambuzi wa utendaji wa miaka miwili ya serikali ya Rais dk John
Magufuli likifanyika mkoani Tanga.
Mwenyekiti wa uvccm Mkoa Tanga
Abdiely Makange akizungumza kabla ya kumkaribisha Kaimu katibu mkuu wa
uvccm Shaka Hamdu Shaka azungumze na makundi ya vijana wa vyuo na vyuo
vikuu.mama lishe.na boda boda kwnye Ukumbi bwa BMK Mkoani Tanga(picha na Fahdi Siraji)
Kaimu katibu mkuu Shaka Hamdu
Shaka akizumgumza kwenye kongamano lilioandaliwa na uvccm kuhusu
tathmini ya uchambuzi wa utendaji wa miaka miwili wa serikali ya Rais
dk John Magufuli kwenye ukumbi wa bmk Mkoani Tanga jana.(picha na Fahdi
Siraji)
EmoticonEmoticon