Shirika la Kivulini lasaidia uanzishaji wa Kiwanda katika Shule ya Wasichana Bwiru Mwanza

November 28, 2017
Shule ya Wasichana Bwiru iliyopo Jijini Mwanza imezindua kiwanda cha mfano, fuatilia hafla ya uzinduzi huo ambayo imefanyika jana ikiwa ni sehemu ya "Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia" ambayo huadhimishwa kila mwaka kuanzia Novemba 25 hadi Disemba 10. [embed]https://youtu.be/uVnE_X4U-EU[/embed] Uzinduzi wa kiwanda kidogo katika shule ya wasichana ya kidato cha tano na sita Bwiru iliyopo Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza. Mgeni rasmi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt.Angeline Mabula akikagua bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa shuleni hapo. Mgeni rasmi akijionea picha mbalimbali zinazochorwa shuleni hapo Mgeni rasmi akijionea utengenezaji wa sabuni pamoja na dawa za chooni. Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt.Angeline Mabula akizungumza kwenye uzinduzi huo. Mkuu wa shule ya wasichana Bwiru, Mwalimu Mackrida Shija akizungumza kwenye uzinduzi huo. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemela, Renatus Mulunga akizungumza kwenye ufunguzi huo ambapo aliahidi ushirikiano katika kuendeleza kiwanda hicho. Mwanafunzi wa shule ya wasichana Bwiru, Dorophy James (kushoto), akisoma risala ya ufunguzi. Kulia pia ni mwanafunzi wa shule hiyo Delvina Mollel. Wanafunzi wa shule hiyo wakimsikiliza Mkurugenzi wa shirika la Kivulini, Yassin Ally kwenye uzinduzi huo Viongozi mbalimbali. Maafisa wa ulinzi.
Wanafuzni wa shule ya wasichana Bwiru wakifurahia jambo kwenye uzinduzi huo.[/caption] [caption id="attachment_29971" align="alignleft" width="620"] Wanafunzi wakimkabidhi zawadi mgeni rasmi.[/caption] [caption id="attachment_29972" align="alignleft" width="620"] Wanafunzi wa shule ya wasichana Bwiru wakikabidhiwa zawadi na mgeni rasmi baada ya kufanya vyema kwenye masomo yao katika shindano la "Best Students of the Year" lililoasisiwa na shirika la Kivulini.[/caption] [caption id="attachment_29972" align="alignleft" width="620"] Wanafunzi wakiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni rasmi pamoja na Afisa Elimu Sekondari wilayani Ilemela.[/caption] [caption id="attachment_29973" align="alignleft" width="620"] Wanafunzi wa shule ya wasichana Bwiru wakikabidhiwa zawadi na mgeni rasmi baada ya kufanya vyema kwenye masomo yao katika shindano la "Best Students of the Year" lililoasisiwa na shirika la Kivulini.[/caption] [caption id="attachment_29974" align="alignleft" width="620"] Wanafunzi wa shule ya wasichana Bwiru wakikabidhiwa zawadi na mgeni rasmi baada ya kufanya vyema kwenye masomo yao katika shindano la "Best Students of the Year" lililoasisiwa na shirika la Kivulini.[/caption] [caption id="attachment_29975" align="alignleft" width="620"] Burudani kutoka kwa kikundi cha ngoma asilia, Chapa Kazi kutoka Nyamadoke wilayani Ilemela.[/caption] [caption id="attachment_29976" align="alignleft" width="620"] Shirika la Kutetea Haki za Wasichana na Wanawake KIVULINI.[/caption] [caption id="attachment_29977" align="alignleft" width="620"] Karibu shule ya Wasichana Bwiru iliyopo Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza ili kujifunza kuhusu uanzishwaji wa Viwanda.[/caption]

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »