Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watanzania waishio nchini
Uganda katika eneo la Masaka.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni
wakati wakizungumza na wanahabari mara baada kumaliza ya kufanya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha umahiri
wa kupiga ngoma pamoja na mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika
eneo la Kyotera nchini Uganda. PICHA NA
IKULU
EmoticonEmoticon