Wabunge
wakiwa wamesimama wakati wa dua ya kuiombea nchi na bunge wakati wa
Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma na Utawala Bora
Mhe.Capt(Mst) George Mkuchika akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
wakati wa Mkutano wa Tisa wa kikao cha nne cha Bunge hilo leo Mkoani
Dodoma.
Naibu
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Jumaa Aweso akijibu hoja mbalimbali
ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline
Mabula akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa
kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini
Dodoma.
Waziri
wa Maliasili na Utalii Mhe.Hamisi Kigwangalla akijibu hoja mbalimbali
ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Madini Mhe.Stanslaus Nyongo akitoa ufafanuzi wa
hoja mbalimbali za wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne
cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Nishati Mhe.Subira Mgalu akitoa maelezo ya maswali
mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe.Dk.Mary Mwanjelwa akijibu hoja
mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
EmoticonEmoticon