Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Uganda Yoweri
Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ndogo ya Masaka
nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu mara baada ya kuwasili
katika Ikulu ndogo ya Masaka nchini Uganda.
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta
Museveni akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli katika eneo la mkutano baina ya wajumbe wa nchi mbili za
Tanzania na Uganda katika Ikulu ya Masaka nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja aliombatana nao katika
Mazungumzo na ujumbe wa Uganda uliokuwa ukiongozwa na Rais wa Uganda
Yoweri Kaguta Museveni katika Ikulu ya Masaka nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na ujumbe wa Tanzania katika
mkutano huo wa pamoja na ujumbe wa Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza ngoma na kikundi cha Ngoma za
Asili cha Cranes Performance mara baada ya dhifa ya kitaifa
aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni
katika Ikulu ya Masaka nchini Uganda.
Kikundi Cranes performance
kikitumbuiza katika dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa ajili ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Ikulu ya
Masaka Uganda.
PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon