Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane ametangazwa kuwa kocha bora katika tuzo za Fifa mjini London.
Tuzo hizo zinaendelea
jijini London na Zidane amefanikiwa kubeba tuzo hiyo kutokana na
mafanikio makubwa msimu uliopita akibeba La Liga na Ligi ya Mabingwa
Ulaya kwa mara ya pili mfululizo.
Sherehe za tuzo hizo zinaendelea jijini London, England.
EmoticonEmoticon