Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga,akipatiwa maelezo na mtaalum kutoka kwa wakala wa usambazaji wa mbegu wakati alipotembelea Banda hilo. |
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akiwa kwenye moja kati ya mabanda ambayo yanahusika na uuzaji wa mbegu bora za kilimo. |
Baadhi ya viongozi wa Wilaya wakitazama namna ambavyo jiko la kupikia la umeme linavyoweza kutumia umeme mdogo zaidi. |
Mgeni Rasmi akipewa maelekezo ya namna ya kutumia kifaa endapo kama mteja akawa na nyumba ndogo. |
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akiwa kwenye banda la TFDA. |
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akiwa kwenye banda la dawa zinazotokana na miti. |
Mwakilishi
wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo ambaye ni mkurugenzi msaidizi wa Idara ya
usalama wa chakula kwenye wizara hiyo Bi Josephine Amulo akielezea umuhimu wa siku hiyo.
Wananchi wakiwa kwenye viwanja vya kalangalala wakifuatilia maadhimisho. |
Brother K wa kikundi cha sanaa cha Futuhi akionesha makeke yake. |
EmoticonEmoticon