|
| Mashabiki wakiimba pamoja na Aslay. |
|
Msanii Barnaba akiwa
jukwaani kwenye Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja
wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga usiku
wa kuamkia jumapili. |
| Benpol akitumbuiza wakazi wa Sumbawanga jukwaani kwenye Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapili |
|
Wasanii Chege na Aslay wakiwa jukwaani wakiimba pamoja
kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia
jumapili
|
| Mimi Mars naye aliburudisha maelfu ya wakazi wa Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapili katika tamasha la Tigo Fiesta. |
|
EmoticonEmoticon