JESHI LA POLISI LAPOKEA MSAADA WA GARI LA MATANGAZO

October 18, 2017
Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani hii leo wamepokea gari lililotolewa na kampuni ya uuzaji wa pikipiki aina ya  king lion  likalotumika katika kutoa elimu kwa njia ya matangazo na burudani kwa kutembea sehemu mbalimbali kuanzia dar es salaam kuelekea mkoani kilimanjaro ambapo ndipo kilele cha maadhimisho ya nenda kwa usalama yatakapofanyika kitaifa.

 Mbali na gari hilo kampuni hiyo ya king lion wamejipanga kutoa zawadi mbalimbali zitakazo safirishwa na gari hilo ambazo zinatarajiwa kutolewa katika kilele cha maadhimisho hayo mkoani kilimanjaro.









Share this

Related Posts

Previous
Next Post »