WAZAZI TAMBUENI VIPAJI VYA WATOTO WENU

July 14, 2017
 Picha mtoto Lameck Charles (9) pamoja na mdogo wake Fredrick Charles (8)ni Watoto wa shule ya Msingi Inteki wakiwa wanaonyesha mchezo wa sarakasi ndani ya stendi ndogo ya jijini Arusha  ikiwa ni sehemu ya kazi ambayo wanaifanya kipindi wakiwa likizo ,watoto hawa ambao  walikutwa na kamera yetu walisema kuwa wamekuwa wakitumia kipaji hicho walichojifunza kutoka kwa kaka yao ili kuweza kujipatia fedha ya kununua vitu vidogo vidogo pindi pale wanaporejea shuleni pembeni ni baadhi ya wananchi wakiwa wanawashuhudia watoto hao wakiendelea kuonyesha vipaji vyao (picha na Woinde Shizza,Arusha)

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »