Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
Mhe. Luhaga Mpina akizungumzana wanahabari katikati yam to Msimbazi chini ya
Daraja la jangwani baada ya kupima kiwango cha hewa ya Oxygen katika maji ya
mto msimbazi na sampuli za maji hayo kupelekwa katika katika maabara ya mkemia
mkuu wa serikali kwa vipimo zaidi, ili kujua kama
maji hayo yana madhara kwabinadamu, mazingira na viumbe hai wengine.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
akiangalia kiasi cha hewa ya oxygen kilochopo katika maji yam to msimbazi
akisaidiwa na wataalamu kutoka katika maabara ya mkemia mkuu wa serikali hawapo
pichani, katika eneo la Jangwani jijini Dar
es Salaam leo. (Picha na Evelyn Mkokoi)
EmoticonEmoticon