Rais
wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia wananchi wa Kakonko kabla ya kuzindua Ujenzi wa barabara ya
Kibondo -Nyakanazi yenye urefu wa kilometa 54, katika mkoa wa Kigoma.
Wananchi
wa Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma wakisikiliza hotuba ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa
Uzinduzi wa Ujenzi wa Barabara ya Kibondo -Nyakanazi yenye urefu wa
kilometa 54, kwenye Sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Standi Mpya
ya Mabasi Kakonko katika mkoa wa Kigoma Rais yupo mkoani Kigoma kwa
ziara ya siku Tatu
Baaadhi
ya Viongozi wa vyama vya siasa na wananchi wa Wilaya ya Kakonko Mkoani
Kigoma wakisikiliza Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Uzinduzi wa Ujenzi wa Barabara ya
Kibondo -Nyakanazi.
Rais
wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
viongozi mbalimbali wakifungua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi
la ufunguzi wa Barabara ya Kibondo -Nyakanazi kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
viongozi mbalimbali serikali wakikata Utepe kuashiria kuweka jiwe la
Msingi la Uzinduzi wa Ujenzi wa Barabara ya Kibondo -Nyakanazi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wananchi wa mji wa Kibondo wakati akiwa safarini kutoka
Ngara kuelekea Mkoani Kigoma.
Rais
wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na kijana mwenye ulemavu amabye ni fundi wa kushona nguo
ndugu Aron Michael Kapililo mkazi wa Kibondo ambaye alisimiana na Rais
Magufuli
Rais
wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na mamia ya wananchi wa kijiji cha Kifura, Kibondo Mkoani
kigoma waliokuwa wamesimama njiani ili kusalimiana na mh Rais akiwa
njiani safarini kutoka Ngara kuelekea Mkoani Kigoma
Mamia
ya wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza Rais wa
jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa
uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa
kilometa 63 Kidawe - Kasulu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na mamia ya wananchi wa Mamia ya wakazi wa Kasulu
Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa
barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe -
Kasulu.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwapungia mikono mamia ya wakazi wa Kasulu, Mkoani Kigoma.
Mamia
ya wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa
kilometa 63 Kidawe - Kasulu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na baadhi ya viongozi walioshiriki uzinduzi wa uzinduzi wa
ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63
Kidawe - Kasulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mbunge Kigoma Mjini Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe mara
baada ya kuzindua ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu
wa kilometa 63 Kidawe - Kasulu
Rais
wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
viongozi mbalimbali wa mkoa wa Kigoma akikata utepe kuashiria Uzinduzi
wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63
Kidawe - Kasulu Mkoani Kigoma,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi waliokuwa
wamefurika njiani mara baada ya Uzinduzi
wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha
lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe - Kasulu Mkoani Kigoma.
EmoticonEmoticon