Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia
Wananchi wa eneo la Stendi ya Mabasi Msamvu Mkoani Morogoro akitokea
Mkoani Dodoma. Julai 27,2917.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akimsikiliza Bi Maria Gabrieli aliyemweleza
Mh Rais Juuu ya kero za wafanyabiasahara ndogondogo wa Stendi ya Mabasi
Msamvu Mkoani Morogoro kunyanyaswa. Julai 27,2917.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akimsikiliza Bi Halima Alli aliyemweleza
Mh Rais Juuu ya kero za wafanyabiasahara ndogondogo wa Stendi ya Mabasi
Msamvu Mkoani Morogoro kunyanyaswa. Julai 27,2917
EmoticonEmoticon