Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akitia saini kitabu cha wageni
baada ya kuwasili katika Ofisi za TAMISEMI mjini Dodoma.Kulia ni Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe.Dk Harrison Mwakyembe akimkabidhi Kamusi kuu ya Kiswahili
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene leo
Mjini Dodoma.
EmoticonEmoticon