Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikutana na wakuu wa mikoa wote
katika kikao kilichohudhuriwa pia na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu
Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
John Kijazi, baadhi ya mawaziri na Mwanasheria Mkuu wa Serikali George
Masaju Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 13, 2017
PICHA NA IKULU