Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiongoza kikao cha hamsini na
nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 23, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango
Mhe.Dk Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha hamsini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Juni 23, 2017.
Naibu Waziri wa Elimu ,Sayansi na
Teknolojia Mhe.Eng Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha hamsini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Juni 23, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani
Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha hamsini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Juni 23, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana ,Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista
Mhagama akijadili jambo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk
Ashatu Kijaji katika kikao cha hamsini na nne cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 23, 2017.
Waziri wa Maliasili na Utalii
Mhe.Prof Jumanne Maghembe akiteta jambo na Mbunge wa Viti Maalum Bi
Martha Mlata katika kikao cha hamsini na nne cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
Waziri wa Ardhi,Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi wakifuatilia jambo na Mbunge wa
Nkasi kaskazini Mhe.Ally Kessy katika kikao cha hamsini na nne cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 23, 2017.
Naibu Waziri Wizara ya Maji na
Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akimskiliza Mbunge wa Kasulu Mjini
Mhe.Daniel Nsanzugwako katika kikao cha hamsini na nne cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 23, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA
EmoticonEmoticon