Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba
(katikati), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya (wapili
kushoto), Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP), Dk. Juma Malewa
(kulia), Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya
(TUGHE) tawi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, William Mkombozi
(kushoto) na Katibu wa Baraza hilo, Amani Mashaka wakiimba wimbo wa
Mshikamano Daima kabla ya Waziri Mwigulu kufungua Kikao cha Baraza la
Wafanyakazi la Wizara kilichojadili Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka
2016/2017 na malengo ya mwaka 2017/2018, kilichofanyika katika Ukumbi wa
Mikutano wa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba
yake, Mwigulu aliwataka wafanyakazi wa Wizara yake kuwa wavumilivu
wakati mahitaji yao yanapofanyiwa kazi na viongozi wao, pia aliwataka
Watendaji wa Wizara hiyo kusimamia haki za wafanyakazi pamoja na kuondoa
urasimu wa aina yoyote ili kuwaletea morali ya kufanya kazi.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba,
akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara yake kabla ya
kufungua Kikao Baraza hilo kilichojadili Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka
2016/2017 na malengo ya mwaka 2017/2018, kilichofanyika katika Ukumbi wa
Mikutano wa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba
yake, Mwigulu aliwataka Wafanyakazi wa Wizara yake kuwa wavumilivu
wakati mahitaji yao yanapofanyiwa kazi na viongozi wao, pia aliwataka
watendaji wa wizara hiyo kusimamia haki za wafanyakazi pamoja na kuondoa
urasimu wa aina yoyote ili kuwaletea morali ya kufanya kazi.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Lilian Mapfa akizungumza katika Kikao kilichojadili Utekelezaji
wa Bajeti ya Mwaka 2016/2017 na malengo ya mwaka 2017/2018 cha Baraza la
Wafanyakazi la Wizara hiyo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Naibu Inspekta
Jenerali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki na kulia ni Kamishna wa Utawala
na Fedha wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba,
akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara yake (hawapo
pichani) kabla ya kufungua Kikao cha Baraza hilo, kilichofanyika katika
Ukumbi wa Mikutano wa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Katika
hotuba yake, Mwigulu aliwataka wafanyakazi wa Wizara yake kuwa
wavumilivu wakati mahitaji yao yanapofanyiwa kazi na viongozi wao, pia
aliwataka watendaji wa wizara hiyo kusimamia haki za wafanyakazi pamoja
na kuondoa urasimu wa aina yoyote ili kuwaletea morali ya kufanya kazi.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba
(kushoto), akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba
Yahya mara baada ya Waziri Mwigulu kufungua Kikao cha Baraza la
Wafanyakazi la Wizara hiyo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake, Mwigulu
aliwataka wafanyakazi wa Wizara yake kuwa wavumilivu wakati mahitaji yao
yanapofanyiwa kazi na viongozi wao, pia aliwataka Watendaji wa Wizara
hiyo kusimamia haki za Wafanyakazi pamoja na kuondoa urasimu wa aina
yoyote ili kuwaletea morali ya kufanya kazi.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati
waliokaa), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya (wa
pili kushoto), Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP), Dk. Juma
Malewa (kulia), Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na
Afya (TUGHE) tawi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, William Mkombozi
(kushoto), Katibu wa Baraza hilo, Amani Mashaka wakiwa katika picha ya
pamoja na Wajumbe wa Baraza hilo, mara baada ya Waziri Mwigulu kufungua
Kikao cha Baraza hilo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake, Mwigulu
aliwataka wafanyakazi wa Wizara yake kuwa wavumilivu wakati mahaitaji
yao yanapofanyiwa kazi na viongozi wao, pia aliwataka watendaji wa
wizara hiyo kusimamia haki za wafanyakazi pamoja na kuondoa urasimu wa
aina yoyote ili kuwaletea morali ya kufanya kazi.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati
waliokaa), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya (wapili
kushoto), Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP), Dk. Juma Malewa
(kulia), Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya
(TUGHE) tawi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, William Mkombozi
(kushoto), Katibu wa Baraza hilo, Amani Mashaka wakiwa katika picha ya
pamoja na Watendaji Wakuu wa Wizara hiyo, mara baada ya Waziri Mwigulu
kufungua Kikao cha Baraza hilo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano
wa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake,
Mwigulu aliwataka wafanyakazi wa Wizara yake kuwa wavumilivu wakati
mahitaji yao yanapofanyiwa kazi na viongozi wao, pia aliwataka Watendaji
wa Wizara hiyo kusimamia haki za wafanyakazi pamoja na kuondoa urasimu
wa aina yoyote ili kuwaletea morali ya kufanya kazi. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
EmoticonEmoticon